Beka Ibrozama: Siwezi kujishusha mimi naweza, hakuna anayejua zaidi yangu

IF YOU ARE 18 YEARS CLICK BELOW TO WATCH AND DOWNLOAD FULL VIDEO

Saturday, August 4, 2018

Beka Ibrozama: Siwezi kujishusha mimi naweza, hakuna anayejua zaidi yangu

Msanii wa muziki Beka Ibrozama amefunguka kwa kudai kwamba anajikubali anajua kuimba ndio maana mara nyingi amekuwa akionekana akijisifia licha ya kutofanya vizuri. Asema kwamwe hawezi kujishusha kwa kuwa anajua uwezo wake wa kuimba ni mkubwa na hakuna anayefanya vizuri.
Share :
Facebook Twitter Google+

 

Back To Top